
🎙️ Ukiwa umetayarishwa na Hits Sound Production, wimbo huu utakuinua kiroho na kukutia nguvu katika changamoto za maisha. Huu ni wimbo wa maombi, wimbo wa kumtegemea Mungu, na hakika utabarikiwa kwa kuusikiliza.
📀 Inapatikana sasa kwenye majukwaa yote ya kidigitali
✅ Boomplay
✅ Apple Music
✅ Spotify
✅ Audiomack
✅ YouTube Music
na mingine mingi!
🔗 Tazama kwenye YouTube hapa 👉 https://youtu.be/OK0HpPhtMvg?si=hVBykshVp-IjEJLQ
📞 Mawasiliano:
📱 Simu: +255 766 200 459
📧 Barua pepe: rlaizer.tz108@gmail.com
🛑 Usisahau:
❤️ Like
💬 Comment
🔁 Share kwa wengine upate thawabu ya kumpelekea mtu ujumbe wa tumaini!
0 Comments