BAADA YA WEMA SEPETU KUFIKA NYUMBANI KWA GODBLESS LEMA



Siku mbili baada ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kuachiwa kwa dhamana, Leo Jumapili March 5, 2017 Muigizaji Wema Sepetu amemtembelea Mbunge huyo nyumbani kwake akiongozana na rafiki zake pamoja na mashabiki.