STAA WA ORIJINO KOMEDI AELEZA KUINGIA KWENYE KILIMO.... VIPI KUHUSU KUIGIZA?

Najua utakuwa mmoja wa watu wangu waliokuwa wafuatiliaji wa mabingwa wa kuchekesha wenye rekodi ya kutazamwa sana kwenye TV Tanzania tangu ZE Comedy hadiOrijino Komedi lakini ni kitambo sana hatujawaona kwenye TV huku tukijua shughuli za baadhi yao na wengine hatujui wanafanya nini kwa sasa.
Inawezekana pia maswali tuliyonayo ni mengi kujua wahusika wako wapi na wanafanya nini lakini hakuna hofu tena maana tumempataWakuvanga na amekubali kuongelea shughuli zake kwa ufupi

Mwandishi wa AYOTV alifanya mahojiano nae.
Bofya hapa chini usikilize>>>


Chanzo-millardayoo.com