Breaking News:MAKAMU WA RAIS ATUMBULIWA

Makamu wa rais nchini Zimabawe Emmerson Mnangagwa amefutwa kazi, kwa mujbu wa wizara ya habari nchini humo. 


Bw. Mnangagwa, 75, alionyesha tabia za kukosa uzalendo, waziri Simon Kahaya Moyo alisema. 

Kufutwa kwake ni ishara kuwa mke wa rais Robert Muabe, Grace, atafuata nyayo za mumeme za kuwa rais wa Zimbabwe 

Mapema Grace alitoa wito wa kutaka mumewe amfute kazi Mnangawa.

Post a Comment

0 Comments