Breaking News: RAIS MAGUFULI AWATUMBUA WAKURUGENZI WA MANISPAA YA BUKOBA NA BUKOBA VIJIJINI



Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba bwana Erato Aron Mfugale na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba Vijijini Bi Mwantum Kitwana Dau

Post a Comment

0 Comments