UJUMBE WA LEO WA MORRISON KWA WANAYANGA


Wakati fulani nilikuwa hapa, nikaondoka na sasa ninarudi tena. Naamini awamu hii itakuwa bora zaidi

Nilipendwa na taifa hili la manjano na kijani na bado linanipenda


Najua niliwasababishia maumivu na aibu wakayi flani lakini najua bado mnanikubali mtoto wenu,nimerudi nyumbani.

Kwani sote tunaujua huu msemo wa "nyumbani kutamu"

Kijana wenu nimerudi na nitafanya kila niwezavyo kuwapa furaha kila mahali na wakati wowote.

Wacha tufanye kazi pamoja na kuiweka klabu hii bingwa kwenye ramani ya kimataifa kama mlivyofanya zamani

Post a Comment

0 Comments