SIMBA YAMALIZANA NA KIUNGO KUTOKA NIGERIA


Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo kisiki Victor Akpan, raia wa Nigeria.

Akpan anatu Simba akitokea klabu ya Coastal Union Simba ikivunja mkataba wake na klabu hiyo. Amesaini mkataba wa miaka miwili.

Ni usajili mwingine ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa simba

Post a Comment

0 Comments