AFARIKI DUNIA SAA CHACHE BAADA YA KUHESABIWA

 Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga

Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60 mkazi wa kata ya Majengo manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga amefariki dunia saa chache baada ya kuhesabiwa na makarani wa sensa nyakati za usiku katika hospitali ya manispaa ya Kahama.

Akiongea na Habari LEO karani wa sensa Robert Mayunga amesema, Mzee aliyefariki alikuwa na kijana wake aliyetambulishwa kwa jina la Williams Shija ambaye pia alitoa maelezo kabla mzee hajafariki dunia.

Chanzo - Habari Leo

Post a Comment

0 Comments