MGONJWA AKATAA KUHESABIWA HUKU AKIWEKA SHARTI MOJA

Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga

Mtu mmoja aliyekuwa amelazwa wodini  katika hospitali ya manispaa ya Kahama alikataa kuhesabiwa kwa sharti la kutaka mpaka awaone viongozi wa eneo lake.

Akiongea na Habari LEO, Karani wa Sensa aliyefanya zoezi hilo hospitalini hapo Robert Mayunga amesema kuwa zoezi limeenda vizuri kwani walianza majira ya saa sita usiku kwa kuanzia hospitalini hapo.

Mayunga amesema kuwa mgonjwa aliyekuwa akikataa kuhesabiwa tayari ameshahesabiwa baada ya kupata maelezo na kujiridhisha na zoezi zima. 

Chanzo - Habari Leo

Post a Comment

0 Comments