MSHABIKI WA YANGA WAPATA AJALI YA GARI WAKIELEKEA ARUSHA KWA AJILI YA MCHEZO WA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION

Kwa habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa mashabiki wa klabu ya Yanga wamepata ajali wakiwa safarini kuelekea Arusha kwa ajili ya mechi ya leo dhidi ya Coastal Union.

Usikae mbali tunakuletea habari kamili


Post a Comment

0 Comments