Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Augustino Senga, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo, linamshikilia Mashaka Mwoga (36…
Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupit…
Watu nane wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Nyehunge kugongana na …
Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabi…
Helena Mashaka (13), mwanafunzi wa darasa la saba shule ya Shahende iliyopo Kata ya Butobela, mkoani Geita, amechom…
Jeshi la polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kifanya kitongoji cha Muungano kwa tuhu…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Peter Mwakiposile kwa tuhuma za kumuua mkewe Aisha Ramadhani mkazi wa Chid…
Karibu MASENGWA MASENGWA ni jukwaa la habari na taarifa linalojikita katika kutoa habari kwa wakati, usahihi na uwazi. Dhamira yetu ni kuwafikia wasomaji kwa taarifa za kuaminika zinazohusu Tanzania na dunia kwa ujumla. Tunachapisha habari za: * 📰 Habari za Kitaifa * 🌍 Habari za Kimataifa * ⚽ Michezo * 🎭 Burudani * 💼 Biashara na Uchumi * 🏛️ Siasa * 💡 Teknolojia * 🎓 Elimu * ❤️ Afya * 🙏 Jamii na Maendeleo MASENGWA inaamini kuwa habari sahihi ni msingi wa jamii yenye uelewa na maendeleo. Ndiyo sababu tunazingatia ukweli, usahihi na maadili ya uandishi wa habari katika kila tunachochapisha. Dira Yetu Kuwa moja ya majukwaa yanayoaminika zaidi nchini Tanzania katika utoaji wa habari zenye ubora na uaminifu. Dhima Yetu Kuwapa wasomaji habari sahihi, kwa wakati na kwa uwazi, huku tukiheshimu maadili ya taaluma ya habari. Kauli Mbiu Yetu "HABARI KWA WAKATI, USAHIHI NA UWAZI." Asante kwa kutembelea MASENGWA. Tunaamini utaendelea kuwa sehemu ya familia yetu ya wasomaji.
Social Plugin