TCU imetangaza majina ya waombaji waliodahiliwa zaidi ya chuo kimoja au programu zaidi ya moja katika awamu ya pili ya …
Ili mapenzi yaweze kuwa bora kwa kila aliye katika mahusiano, huwa ni vyema kila mmoja kuiona thamani ya mwenzake.…
Kipindi cha ujauzito kwa mama ni kipindi muhimu sana ambacho kwa wakati huu mama hatakiwi atumie kitu chochote ch…
Takribani kila mtu angependa kuwa na ngozi laini, au hata laini zaidi. Watu wengi wamekuwa wakiitafuta ngozi nzu…
Watu wengi wanatamani kumiliki biashara siku moja na huenda wana mipango mizuri juu ya bishara zao. Mipango hii…
Kwa kawaida makundi ya nyuki katika nchi ya Tanzania na baadhi ya nchi zinazolingana kwa tabia za nchi, makundi …
Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake. Hulimwa nyanda za baridi kwa wingi sana. Nyanda…
Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya ta…
LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula …
Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo, kisha tukasoma kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo,…
Matikiti maji aina ya Sugar baby inachukua siku 60 tu kuvuna ukiongeza na siku 3-5 za kukaa ardhini, zao hili u…
What a trade union is A trade union is an organisation made up of members (a membership-based organisation) and its …
Karibu MASENGWA MASENGWA ni jukwaa la habari na taarifa linalojikita katika kutoa habari kwa wakati, usahihi na uwazi. Dhamira yetu ni kuwafikia wasomaji kwa taarifa za kuaminika zinazohusu Tanzania na dunia kwa ujumla. Tunachapisha habari za: * 📰 Habari za Kitaifa * 🌍 Habari za Kimataifa * ⚽ Michezo * 🎭 Burudani * 💼 Biashara na Uchumi * 🏛️ Siasa * 💡 Teknolojia * 🎓 Elimu * ❤️ Afya * 🙏 Jamii na Maendeleo MASENGWA inaamini kuwa habari sahihi ni msingi wa jamii yenye uelewa na maendeleo. Ndiyo sababu tunazingatia ukweli, usahihi na maadili ya uandishi wa habari katika kila tunachochapisha. Dira Yetu Kuwa moja ya majukwaa yanayoaminika zaidi nchini Tanzania katika utoaji wa habari zenye ubora na uaminifu. Dhima Yetu Kuwapa wasomaji habari sahihi, kwa wakati na kwa uwazi, huku tukiheshimu maadili ya taaluma ya habari. Kauli Mbiu Yetu "HABARI KWA WAKATI, USAHIHI NA UWAZI." Asante kwa kutembelea MASENGWA. Tunaamini utaendelea kuwa sehemu ya familia yetu ya wasomaji.
Social Plugin